Falsafa za Guardiola zinaua Soka - Evra
Miongoni mwa mahojiano ambayo aliyafanya beki wa zamani wa Manchester United Patrice Evra ni kuhusu mabadiliko ya soka duniani chini ya Kocha Pep Guardiola kuwa ameua Soka kutokana na falsafa yake ya ufundishaji.