Droo ya kombe la Dunia 2026 kufanyika leo

Hafla ya upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia 2026 inafanyika leo nchini Marekani, ikiwa hatua muhimu kuelekea mashindano ya kihistoria yatakayoshirikisha jumla ya timu 48 kwa mara ya kwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS