Lema azuiliwa kutoka nchini, Uhamiaji kumhoji
Idara ya Uhamiaji nchini imesema kuwa leo Juni 6, 2025, katika kituo cha uhamiaji cha mpaka wa Namanga mkoani Arusha, Godbless Lema alizuiliwa kutoka nchini na pasipoti yake ya kusafiria kushikiliwa na kumtaka aripoti katika ofisi ya Uhamiaji makao makuu kwa ajili ya mahojiano zaidi.