Man United kuachana na wachezaji 10 msimu huu

Ruben Amorim - Kocha wa Klabu ya Manchester United

Manchester United wameripotiwa wataachana na wachezaji wasiopungua 10 kwenye kikosi chao ikiwa na sehemu ya Meneja Ruben Amorim kufanya marekebisho baada ya kampeni ya msimu huu kutozaa matunda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS