Mzimu wa Diamond Unamtafuna Rayvanny

Pichani ni Rayvanny na Diamond

Mmoja wa wadau wa muziki hapa Tanzania ametoa mtazamo wake juu ya wimbo wa Nesa Nesa wa msanii Rayvanny kuwa umerudi upya katika Trending na ni kwasababu ya Verse aliyoifanya Msanii Diamond katika ngoma hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS