Fainali ya WNBA kupigwa Target Center

Mchezo wa fainali ya kupata bingwa wa kombe la WNBA Commissioner's Cup utapigwa July 1 kwenye uwanja wa Target Center uliopo ukanda wa Magharibi kwenye Jiji la Minneapolis nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS