CCM haitavumilia wanaovuruga amani
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga Rajab Abrahmani Abdallah, amewataka wanaTanga kutokubali kuingiliwa na watu kwa visingizio vya Siasa wakiwa na nia ya kuvuruga amani akisema kamwe jambo hilo CCM haitaweza kulivumilia