Rekodi ya nywele ndefu zaidi ulimwenguni
Kwa mujibu wa kitabu cha ''Guinness World Records'' kina mtaja Smita Srivastava kama mwanadamu mwenye nywele ndefu zaidi ulimwenguni, kwa kuwa na nywele zenye urefu wa Futi 7 na Inch 9 (Ni sawa na urefu wa milango ya kisasa)