Muhimbili wakata uvimbe wa kg5 kwa Karume
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imefanikiwa kuondoa uvimbe wa kilogram 5, zilizokuwa mwilini mwa Karume Ally Karume aliyekuwa mkazi wa Lindi ambaye alifika Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa huo uliomtesa kwa miaka 26.