Dkt. Mpango awasili kwenye mkutano Ethiopia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili leo Septemba 8, 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis ili kushiriki Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika nchini Ethiopia