Saka arejea baada ya kukaa nje kwa miezi mitatu Bukayo Saka Kocha Mikel Arteta amesema, Winga wa Arsenal Bukayo Saka yuko fiti tena baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu kutokana na majeraha. Read more about Saka arejea baada ya kukaa nje kwa miezi mitatu