Vanessa; Nawapenda sana Mashabiki wangu

Vanessa Mdee, msanii wa muziki ambaye nyota yake inang'ara vizuri kabisa hapa Bongo, amesema kuwa katika siku hii ya Wapendanao, Valentine wake ni mashabiki wake wote wa karibu ambao amekuwa karibu nao na kuonyeshana nao upendo hususan kupitia njia ya mitandao ya kijamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS