Buff G zinga la kichupa

Rapa mkali katika game nchini Buff G-zinga kutoka East Coast Team aliyetokea katika kundi la CBM Crew aachia kichupa chake kipya kilichobatizwa jina "Bizz Show" ambacho kimetambulishwa leo kupitia EATV.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS