STL, Kanja waimwagia sifa Nai Wasanii wenye uwezo mkubwa kabisa wao nchini Kenya, STL, Kanja pamoja na Shreekeezy, wameamua kuonyesha mapenzi yao kwa Jiji la Nairobi, kwa kuungana pamoja na kufanya ngoma ambayo inakwenda kwa jina For My City. Read more about STL, Kanja waimwagia sifa Nai