Choki kuachia Mtenda Akitendewa
Nyota wa muziki wa dansi Ally Choki anayemiliki bendi maarufu ya muziki wa dansi nchini Extra Bongo ‘Wazee wa Kimbembe, Kizigo’ wanatarajia kuzindua albamu yao mpya ijulikanayo kama ‘Mtenda Akitendewa’ hapo kesho jijini Dar es Salaam.