Wyre aukwaa uwakilishi wa Vijana
Staa wa muziki wa nchini Kenya, Wyre The Love Child ameendelea kupata mashavu makubwa kupitia mafanikio ya muziki wake, na safari hii amechaguliwa kama mjumbe kuingia katika bodi inayoshughulika na mambo ya vijana ya Jiji la Nairobi.