Taifa stars kuvaana na Namibia ugenini

Kikosi cha Taifa Stars kesho kinataraji kujitupa katika uwanja wa Sam Nujoma jijini Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji Namibia (Brave Warriors) inayofundishwa na kocha Ricardo Mannetti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS