Gait kufyatua kazi nyingine
Jimmy Gait, msanii wa muziki wa injili nchini Kenya baada ya kuzua gumzo kubwa na kazi yake mpya inayokwenda kwa jina Makekes kwa madai kuwa video hii haikuwa na maadili ya kidini kabisa, msanii huyu ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo katika hara