ZE COMEDY SHOW wiki hii.. Baada ya mbwa wa bosi wa Mazuzu kung'ata kijana wa mtaaani, Mazuzu wasaidia upelelezi kubaini huyo mbwa alikuwa wa nani.. ni Alhamisi hii saa moja usiku.