Wizi wa mafuta ya transfoma bado tishio Dar
Watu wasiofahamika wamekata umeme na kisha kuiba mafuta pamoja na vipuri vyote vilivyokuwa ndani ya transfoma inayosambaza umeme eneo la viwanda, mtaa wa Ali Hamza pembeni mwa barabara kuu ya Mandela tabata jijini Dar es Salaam.

