Weekend Movie Jumamosi wk15
Ni hadithi ya kijana ambaye anamlazimisha binti kumpenda lakini binti alikuwa hampendi hata kidogo na alikuwa na mahusiano na mtu mwingine. Hivyo anaamua kuwa mtemi kwa kila mwanaume atakaye tembea naye. Street Mafia sehemu ya 1 Jumamosi hii.