MUGABE SEKONDARI Unakubali kwamba maduka na mabanda ya biashara yanayokua karibu au nje ya shule, huchangia kuharibu tabia za wanafunzi? Usikose mada hii ndani ya SKONGA itakayochangiwa na wanafunzi wa Mugabe sekondari.Submitted by Halima on Friday , 28th Mar , 2014 Read more about MUGABE SEKONDARI