Joyce Kiria amuibua mama yake Crhistina baada ya kusema kuwa amefariki siku nyingi. Aongea mengi kuhusu mwanae kwa uchungu.