TAHA kuendelea na program za mwaka
Chama cha mpira wa mikono Tanzania (TAHA) kimesema pamoja na kutokuwa na udhamini kwaajili ya kuendesha Program za mwaka za chama hicho, wao kama chama wamejipanga kukamilisha program zao kwa mujibu wa kalenda ya mwaka.