Bobi Wine kuwashambulia wanaomchukia

Bobi Wine

Msanii Bobi Wine wa nchini Uganda, ameamua kuweka wazi ujio wake mpya na wa tofauti kabisa kwa
mwaka huu, ambapo amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa, kwa sasa amewekeza muda na akili zake katika kutengeneza wimbo maalum kwa wale wanaomchukia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS