Wanawake 100 hufa kila siku kwa saratani Wanawake mia moja hufa kila siku nchini Tanzania kutokana na saratani ya shingo ya kizazi hali inayosababishwa kwa kiasi kikubwa na uzazi wa utotoni pamoja unywaji wa pombe na uvutaji wa tumbaku. Read more about Wanawake 100 hufa kila siku kwa saratani