Shule za Manzese zina upungufu wa Madawati Shule za Msingi katika Kata ya Manzese Jijini Dar es Salaam zinakabiliwa na upungufu wa madawati na uchakavu wa miundombinu ya majengo hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi wanaosoma katika shule hizo. Read more about Shule za Manzese zina upungufu wa Madawati