Kimbunga aigeuzia mgongo Hip Hop
Msanii ambaye anafahamika kwa kukaza muziki wake ndani ya misingi na midundo ya Hip Hop, ametangaza rasmi leo kuwa kwa sasa mtazamo wake umebadilika sana katika muziki, na ameamua kufanya muziki ambao haujajifunga mahali pamoja.