Kanye West Na Mama Mtoto Wake Kim Kardashian katika Muonekano wa Kurasa ya Mbele ya Vogue
Familia ambayo inatarajia kuwa rasmi kwa kufunga ndao hivi karibuni ya Kimye yaani Kanye West na Kim Kardashian imepamba ukurusa wa mbele wa gazeti maarufu zaidi duniani la Vogue la nchini Marekani.