CHANETA yapongeza ushiriki timu za wanaume EAC

Chama cha netball Tanzania CHANETA ambao ndio wenyeji wa michuano ya klabu bingwa ya netball kwa nchi za afrika mashariki inayoendelea katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kimesema kuwa kimeridhika na hali inavyokwenda katika michuano hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS