Lugola amuomba Sitta kutengua uteuzi
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kangi Lugola amemuomba Mwenyekiti wa Bunge kutengua uteuzi wake wa wajumbe wa Kamati ya Uongozi ili kuondoa manung'uniko na awateuwe watu kwa kuzingatia makundi mbalimbali bila ya kuwa na mtu kutoka chama cha CCM.