Bodi ya ligi yazipongeza Polisi Moro na Ndanda fc Bodi ya ligi Tanzania TPL Board inavipongeza vilabu vya soka vya Polisi Morogoro na Ndanda FC ya Mtwara kwakufanikiwa kupanda ligi kuu baada ya kuongoza makundi yao Read more about Bodi ya ligi yazipongeza Polisi Moro na Ndanda fc