Koffi Oliomide kufanya onyesho Kenya

Antoine Christophe Agbepa Mumba a.k.a Koffi Olomide

Msanii mkali na mkongwe wa muziki wa Dansi kutoka Congo DRC, Koffi Olomide, mwezi ujao anatarajia kutua jijini Nairobi kwaajili ya shughuli moja tu ya kutumbuiza katika tamasha maarufu la burudani la Luo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS