TCU yaja na mfumo wa kudhibiti ada elimu ya juu
Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TCU) imezindua rasmi mfumo wa kutathmini ada kwa vyuo vya elimu ya juu ambapo mfumo huo utasaidia kuondoa malalamiko kwa wanafunzi juu ya vyuo hivyo kujipangia ada vyenyewe.