REPOA kujadili suluhisho la kuondoa umaskini
Taasisi inayojishughulisha na masuala ya tafiti za kupunguza umasikini nchini Tanzania (REPOA), imesema bado kuna tatizo la kutambua namna ya kupima kiwango cha umasikini licha ya takwimu kuonyesha hali ya uchumi nchini imeongezeka.