Cindy Sanyu aanza kujibu mashambulizi kwa Phina

Cindy Sanyu

Msanii wa muziki Cindy Sanyu, ameibuka na kumshambulia kwa maneno makali mtandaoni mwanadada Phina Mugerwa, kwa madai kuwa amekerwa sana na kitendo cha mwanadada huyu kusema katika mahojiani na televisheni kkuwa Cindy ni mwizi wa waume za watu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS