Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ziarani wilayani Ngorongoro alipokwenda kufanya mkutano na watu wa jamii za wamasai na wasonjo Septemba, 2013
Wananchi na viongozi wa jamii za Wamasai na Wasonjo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamekubaliana kumaliza mgogoro wa siku nyingi ulipo baina ya jamii hizo