Ufaulu kidato cha nne bado upo chini
Baraza la Mitihani nchini Tanzania, limesema kiwango cha ufaulu wa masomo kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2013 katika masomo mengi ni chini ya Asilimia 50 licha ya kiwango cha ufaulu kuongezeka kwa asilimia kumi na nne nukta moja.