Mwasiti: Video ya Serebuka wiki ijayo

Mwasiti

Baada ya kutikisa chati mbalimbali kupitia ngoma ya Serebuka, Msanii Mwasiti amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa tayari kwa ujio wa Video kali kabisa ya ngoma hii kuanzia wiki ijayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS