Mabondia chipukizi watakiwa kujipanga kimazoezi

Mabondia Francis Miyeyusho na Mbwana Matumla wakitunishiana misuli katika moja ya mapambano yao.

Mabondia chipukizi wametakiwa kufanya mazoezi mazito na ya nguvu ili kujihakikishia ubora katika masuala ya masumbwi na wakiwa tayari basi watafute mapambano na mabondia wakubwa wenye majina na rekodi nzuri ili waweze kupandishwa chati

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS