Uhusiano Tanzania na Rwanda ni mzuri - Serikali
Serikali ya Tanzania imefafanua kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda ni mzuri na kwamba hali ni tofauti na ambavyo vyombo vya habari vya nchi hizo vimekuwa vikiripoti katika kipindi cha miezi sita iliyopita.