'Bao' lawarudisha Wagosi wa Kaya
Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa, wasanii Mgosi Mkoloni pamoja na Dr John wameamua kuwarejeshea mashabiki wa muziki wa Bongofleva ambayo walikuwa wameikosa kwa muda mrefu, kwa kujiunga tena kama Wagosi wa Kaya na kuachia kazi mpya mbili kwa pamoja