Tanzania inakabiliwa na vifo vingi vya wajawazito

Waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania, Dkt Seif Rashid

Tanzania imetajwa kuwa moja ya nchi kumi duniani zenye kiwango kikubwa cha vifo vya akina mama wajawazito wanaofariki kutokana na matatizo ya uzazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS