Serikali kutaifisha maeneo ya wazi - waziri

Naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi nchini Tanzania mheshimiwa George Simbachawene

Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi George Simbachawene amesema kuwa serikali inapanga kutaifisha maeneo makubwa ya ardhi ambayo yako wazi na hayatumiki kwa ajili ya kukuza pato la taifa na kuwapa wakulima wayaendeleze.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS