Kopa kuingia studio na Diamond
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya taarab nchini Khadija Khopa almaarufu kama Malkia wa mipasho amejiandaa kufanya kazi na wasanii wa miondoko ya bonofleva huku akiweka wazi nia yake ya kufanya kazi na msanii Diamond Platinmuz.

