Timu ya taifa ya cricket TZ kwenda Zambia August 7

Wachezaji wa timu ya vijana ya cricket ya Tanzania wakijifua jijini Dar es salaam

Timu ya taifa ya vijana wa umri chini ya miaka 18 ya Tanzania mchezo wa cricket imeendelea na mazoezi mazito katika viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam ili kujiwinda na michuano ya Afrika kusaka tiketi ya kucheza michuano ya kombe la dunia

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS