Msichana wa kazi aliyepotea akutwa amekufa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime.

Msichana anayefanya kazi za ndani aliyejulikana kwa jina la Safela Andrew mkazi wa Area C katika Manispaa ya Dodoma, amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika huku ukiwa umeharibika vibaya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS