Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara Mashuhuda wameeleza kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa nane usiku wa kuamkia December 17, 2025 kufuatia mvua iliyoambatana na upepo pamoja na ngurumo za radi Read more about Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara