PSG watangaza ubingwa wa Ufaransa "Unbeaten"
Klabu ya Paris Saint-Germain wametangazwa kuwa mabingwa wa ligi ya Ufaransa (Ligue 1) kwa mara ya 4 mfululuzo baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo wa leo dhidi ya Angers ambapo waliibuka na ushindi wa 1-0