Ibraah amekosa muwekezaji tu ila muziki anajua

Mtangazaji wa kipindi cha madini dot com grayson gideon amefunguka kuwa msanii ibraah ni msanii mwenye kipaji kikubwa na uwezo wake ni mkubwa sana kwenye uandishi na vitu vingine vingi vinavyomkamilisha msanii Chinga anavimiliki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS